Nembo ya HU HUT LODGE, kabla ya kufunguliwa katika kitambaa cheupe
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini Ufunguzi wa HU HUT LODGE
Baadhi ya Wageni wakisaini Daftari la Kudumu la Hu Hut Lodge, siku ya Ufunguzi
Mkurugenzi wa Hu Hut Lodge, Bw. Dennis Swai, akijiandaa kufanya Tendo la Ufunguzi wakati wa Uzinduzi wa Hu Hut Lodge- Mjini Moshi
Baadhi ya Wageni Waalikwa chini wakifuatilia kwa Makini tukio la Ufunguzi, wakati Mkurugenzi wa Hu Hut Lodge, Bw. Dennis Swai(juu) akijiandaa kuzindua Rasmi Hu Hut Lodge.
Mkurugenzi wa Hu Hut Lodge, Bw. Dennis Swai, akisema neno lake la Busara kwa wageni waalikwa wakati akijiandaa kufanya Tendo
la Ufunguzi wa Hu Hut Lodge- Mjini Moshi
Hu Hut Lodge, baada ya kufunguliwa Rasmi.
Mkurugenzi wa Hu Hut Lodge, Bw. Dennis Swai,(katikati) akipiga picha na baadhi ya ndugu na jamaa.baada ya Tendo la Ufunguzi wakati wa Uzinduzi wa Hu Hut Lodge- Mjini Moshi
Mkurugenzi wa Hu Hut Lodge, Bw. Dennis Swai, akifungua Shampeni kabla ya Tendo
la Ufunguzi wakati wa kuizindua Rasmi - Hu Hut Lodge- Mjini Moshi(Picha Zote kwa Hissan ya Mpiga Picha wa Hu Hut Lodge)
No comments:
Post a Comment